🇿🇦 SA GOSPEL
Crown Celebration – Mungu Muumbaji
Follow Us On
WHATSAPP GROUP | TELEGRAM CHANNEL |
---|
Crown Celebration – Mungu Muumbaji, mp3 download, audio, song, music
DOWNLOAD MP3: Crown Celebration – Mungu Muumbaji
talented nigeria gospel singer and song writer popular kown as Crown Celebration come upwith gospel worshipsong tuitle
Download song below and drop
Crown Celebration – Mungu Muumbaji
Crown Celebration LYRICS Mungu Muumbaji
Mungu muumbaji,
wa mambo yote
Ni wee mwanzilishi
wa kila jambo
Una tawala
juu ya yote
Ukuu wako
hauna mwisho
Hapa tume amua leo
Kuinua jina lako juu
Yesu juu ya majina yote
Twashuka chini
Wee uinuke
Kama bendera
ya ushindi
Taji zetu
twatupa chini
Mbele ya mufalme
wa wafalme
Ufalme wako,
hauna mwisho
Uishi milele
Unatawala bingu
na inchi Uishi milele
Yelelelele
DOWNLOAD AUDIO/MP3