LYRICS🇰🇪 Kenya Gospel
DOWNLOAD: Msanii Music Group – Bwana U Sehemu Yangu
Follow Us On
WHATSAPP GROUP | TELEGRAM CHANNEL |
---|
Msanii Music Group – Bwana U Sehemu Yangu, mp3 download, audio, song,
DOWNLOAD: Msanii Music Group – Bwana U Sehemu Yangu
DOWNLOAD: Msanii Music Group – Bwana U Sehemu Yangu
Bwana U Sehemu Yangu Lyrics – Msanii Music Group
Bwana u sehemu yangu Rafiki yangu Wewe,
Katika safari Yangu; Tatembea na Wewe
Pamoja na wewe (x2)
Katika safari yangu, Tatembea na wewe.
Mali hapa sikutaka; Ili Niheshimiwe;
Na yanikute mashaka, Sawasawa na wewe
Niongoze safarini, Mbele Unichukue;
Mlangoni Mwa mbinguni, Niingie na Wewe.
Msanii Music Group – Bwana U Sehemu Yangu mp3